🔴 LIVE — Updated every 10 minutes
👤 -- reading now 🌡 Nairobi
Breaking
HomeGeneralAfisa asema mazishi yaliyofanywa katika eneo…
General

Afisa asema mazishi yaliyofanywa katika eneo la Kwa Bi Nzaro yalikiuka tamaduni za Wagiriama

▶ Taifa Leo Jul 13, 2026 1h ago 👁 1 views
Afisa asema mazishi yaliyofanywa katika eneo la Kwa Bi Nzaro yalikiuka tamaduni za Wagiriama
📋 Article Summary
81 words
AFISA wa serikali ameieleza Mahakama ya Mombasa kuwa namna waathiriwa wa vifo vya Kwa Bi Nzaro walivyozikwa bila nguo, bila majeneza na katika makaburi ya kina kifupi ilikuwa kinyume na mila na desturi za jamii ya Wagiriama. Akitoa ushahidi mahakamani,… AFISA wa serikali ameieleza Mahakama ya Mombasa kuwa namna waathiriwa wa vifo vya Kwa Bi Nzaro walivyozikwa bila nguo, bila majeneza na katika makaburi ya kina kifupi ilikuwa kinyume na mila na desturi za jamii ya Wagiriama. Akitoa ushahidi mahakamani,…
Continue Reading
Full story on Taifa Leo
Read Full Article →
🔗 You will be taken to taifaleo.nation.co.ke