General
Kisii yageukia mfumo mbadala kutatua mauaji yaletwayo na migogoro ya mashamba
📋 Article Summary
81 words
KAUNTI ya Kisii imezindua rasmi Mfumo Mbadala wa Haki wa mazungumzo maarufu kama Alternative Justice System (AJS) katika juhudi za kukomesha mauaji yanayosababishwa na migogoro ya ardhi ambayo imegharimu maisha ya mamia ya watu katika miaka ya hivi karibuni. Jaji… KAUNTI ya Kisii imezindua rasmi Mfumo Mbadala wa Haki wa mazungumzo maarufu kama Alternative Justice System (AJS) katika juhudi za kukomesha mauaji yanayosababishwa na migogoro ya ardhi ambayo imegharimu maisha ya mamia ya watu katika miaka ya hivi karibuni. Jaji…
Continue Reading
Full story on Taifa Leo
🔗 You will be taken to taifaleo.nation.co.ke