🔴 LIVE — Updated every 10 minutes
👤 -- reading now 🌡 Nairobi
HomeGeneralVita vya mamlaka Senegal korti ikizima…
General

Vita vya mamlaka Senegal korti ikizima Sonko kumvua Faye madaraka kupitia bunge

▶ Taifa Leo Jul 14, 2026 Jul 14 👁 1 views
Vita vya mamlaka Senegal korti ikizima Sonko kumvua Faye madaraka kupitia bunge
📋 Article Summary
79 words
DAKAR, Senegal: MAHAKAMA ya Juu ya Senegal imeondoa marekebisho kwenye katiba ya taifa hilo ambayo yangebadilisha usawazishaji wa mamlaka serikalini. Korti ilibaini kuwa marekebisho hayo yaliyopitishwa na kuidhinishwa na Bunge la Kitaifa mnamo Juni 29, yalienda kinyume na katiba. Kati… DAKAR, Senegal: MAHAKAMA ya Juu ya Senegal imeondoa marekebisho kwenye katiba ya taifa hilo ambayo yangebadilisha usawazishaji wa mamlaka serikalini. Korti ilibaini kuwa marekebisho hayo yaliyopitishwa na kuidhinishwa na Bunge la Kitaifa mnamo Juni 29, yalienda kinyume na katiba. Kati…
Continue Reading
Full story on Taifa Leo
Read Full Article →
🔗 You will be taken to taifaleo.nation.co.ke