General
Wanasiasa mashakani mali ikipigwa mnada kwa kulemewa na madeni
📋 Article Summary
81 words
WANASIASA wengi nchini huchora taswira ya watu wasioweza kutikiswa kutokana na mamlaka wanayoshikilia, misafara ya magari, walinzi na bajeti kubwa wanazosimamia. Lakini hali hubadilika. Matatizo ya kifedha sasa yameanza kuwakumba baadhi ya viongozi wakuu huku benki zikielekeza madalali kuuza mali… WANASIASA wengi nchini huchora taswira ya watu wasioweza kutikiswa kutokana na mamlaka wanayoshikilia, misafara ya magari, walinzi na bajeti kubwa wanazosimamia. Lakini hali hubadilika. Matatizo ya kifedha sasa yameanza kuwakumba baadhi ya viongozi wakuu huku benki zikielekeza madalali kuuza mali…
Continue Reading
Full story on Taifa Leo
🔗 You will be taken to taifaleo.nation.co.ke