General
Weta ahatarisha adhabu ya korti kwa madai ya kuendelea kupiga siasa za uchaguzi
📋 Article Summary
81 words
SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula anakabiliwa na kesi ya kudharau mahakama baada ya Shirika la Vocal Africa kumshutumu kwa kukaidi amri zinazomzuia kutumia mamlaka ya afisi yake kumfanyia Rais William Ruto kampeni. Kesi hiyo inategemea zaidi machapisho ya… SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula anakabiliwa na kesi ya kudharau mahakama baada ya Shirika la Vocal Africa kumshutumu kwa kukaidi amri zinazomzuia kutumia mamlaka ya afisi yake kumfanyia Rais William Ruto kampeni. Kesi hiyo inategemea zaidi machapisho ya…
Continue Reading
Full story on Taifa Leo
🔗 You will be taken to taifaleo.nation.co.ke